Skip to main content

Posts

Showing posts with the label MS OFFICE

Kwa Nini Ni Lazima Ujifunze Microsoft Excel-Sababu 5 za Msingi

Microsoft Excel ni Program ya kimahesabu inayotumika kuhifadhi data katika muundo wa nambari, maneno, grafu na chati. Microsoft Excel inatumika katika makampuni biashara na katika taasisi mbalimbali. Pia watu binafsi hutumia program hii kwa matumizi mbambali. Kuna sababu tano za msingi za wewe kujifunza   Microsoft Excel. 1.Kuongeza ufanisi katika kazi. Program ya microsoft excel inakusaidia kuongeza ufanisi katika kazi unazofanya kutokana na uwezo wake wa kurahisisha kazi na kuokoa muda. Mfano kama ulitakiwa kutengeneza ripoti 100 kwa njia ya mkono ungeweza  kutumia hata siku nzima kuandaa tu, lakini kupitia Microsoft excel unaweza kukamilisha kazi hiyo ndani ya saa 1 au masaa mawili tu. 2.Kutunza taarifa binafsi. Unaweza kutumia program ya Microsoft Excel  kutunza taarifa zako binafsi kama vile orodha ya vitu, bajeti yako binafsi au kufanyia mahesabu muhimu ya manunuzi / matumizi unayoyafanya. 3.Kufanya mahesabu ya kibiashara. Program ya Microsoft excel ina umu...