Skip to main content

OFA KUBWA YA MAFUNZO YA KOMPYUTA

  JIFUNZE KOMPYUTA KWA GHARAMA NAFUU SANA!

 KOZI ZA MICROSOFT OFFICE

LEO NAKUPATIA PUNGUZO KUBWA LA

 MASOMO YA MICROSOFT OFFICE.

 

Kozi zetu za:
🔹 Microsoft Word Tsh 10,000

🔹 Microsoft Excel for Business Tsh 20,000

🔹 Microsoft Excel for Teachers Tsh 20,000

🔹 Microsoft Publisher Tsh 10,000

🔹 Microsoft Access  Tsh 10,000

🔹 Microsoft Powerpoint   Tsh 10,000


LEO LIPIA TSH 40,000 TU USOME KOZI ZOTE 6 ZENYE THAMANI YA TSH 80,000

 

LIPIA ADA KWENDA M-PESA 0740299266 AU MIXX BY YAS 0672999266 JINA ABDALLAH HEMEDI KISHA UTAUNGANISHWA KWENYE MAFUNZO MUDA HUOHUO.

 

Mafunzo kupitia video, kwa Kiswahili rahisi kueleweka.
Unaweza kujifunza popote ulipo kupitia Email Yako.
Pata maarifa ya kukusaidia kazini, shuleni/chuoni, au hata kuanzisha biashara yako!

 

Hii siyo ofa ya kukosa. JIUNGE SASA na anza safari yako ya kuwa mtaalam wa teknolojia!

 

 

 

LEO LIPIA TSH 40,000 TU USOME KOZI ZOTE 6 ZENYE THAMANI YA TSH 80,000

 

LIPIA ADA KWENDA M-PESA 0740299266 AU MIXX BY YAS 0672999266 JINA ABDALLAH HEMEDI KISHA UTAUNGANISHWA KWENYE MAFUNZO MUDA HUOHUO.

 

 

BONYEZA HAPA UJE WHATSAPP

Comments

Popular posts from this blog

Kwa Nini Ni Lazima Ujifunze Microsoft Excel-Sababu 5 za Msingi

Microsoft Excel ni Program ya kimahesabu inayotumika kuhifadhi data katika muundo wa nambari, maneno, grafu na chati. Microsoft Excel inatumika katika makampuni biashara na katika taasisi mbalimbali. Pia watu binafsi hutumia program hii kwa matumizi mbambali. Kuna sababu tano za msingi za wewe kujifunza   Microsoft Excel. 1.Kuongeza ufanisi katika kazi. Program ya microsoft excel inakusaidia kuongeza ufanisi katika kazi unazofanya kutokana na uwezo wake wa kurahisisha kazi na kuokoa muda. Mfano kama ulitakiwa kutengeneza ripoti 100 kwa njia ya mkono ungeweza  kutumia hata siku nzima kuandaa tu, lakini kupitia Microsoft excel unaweza kukamilisha kazi hiyo ndani ya saa 1 au masaa mawili tu. 2.Kutunza taarifa binafsi. Unaweza kutumia program ya Microsoft Excel  kutunza taarifa zako binafsi kama vile orodha ya vitu, bajeti yako binafsi au kufanyia mahesabu muhimu ya manunuzi / matumizi unayoyafanya. 3.Kufanya mahesabu ya kibiashara. Program ya Microsoft excel ina umu...

Jinsi ya Kutengeneza Website – Part 01

Hii ni makala ya kwanza katika mfululizo wa mafunzo ya Jinsi ya Kutengeneza Website. Karibu ujifunze! Website ni nini? Kwa Kiswahili tunaita tovuti au wavuti ingawa katika mafunzo haya tumetumia neno website kwani ndio linalofahamika na wengi na hivyo itakuwa rahisi kwa watu kufahamu nini tunakizungumzia. Website ni mtandao ambao unatengenezwa kwa lengo la kuweka data au taarifa za aina mbalimbali (Usichanganye na Blog ambayo taarifa huwekwa kwa njia ya makala).  Mtu anaweza kutengeneza Website kwa ajili ya kuweka taarifa za biashara yake katika mfumo wa kurasa , au kutoa elimu au kufundishia. Website inakuwa na Kurasa ya nyumbani (Homepage) ambayo baada ya mtu kuingiza anuani tu anafikia. Katika ukurasa wa nyumbani kunawekwa taarifa za msingi kuhusu website na taarifa nyingine huwekwa katika kurasa nyingine ambazo zinaweza kufikika kiurahisi kupitia links zilizowekwa au katika MENU.  Mifano ya Website ni kama https://necta.go.tz n.k.   Katika sehemu hi...